Mathayo 8:2-3
Mathayo 8:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, akaja mtu mmoja mwenye ukoma, akamsujudia na kusema, “Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa!” Yesu akanyosha mkono, akamgusa na kusema, “Nataka! Takasika.” Mara huyo mtu akapona ukoma wake.
Shirikisha
Soma Mathayo 8Mathayo 8:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na tazama, akaja mtu mwenye ukoma akamsujudia, akisema, Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa. Yesu akanyosha mkono, akamgusa, akisema Nataka; takasika. Na mara ukoma wake ukatakasika.
Shirikisha
Soma Mathayo 8