Mathayo 8:2
Mathayo 8:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, akaja mtu mmoja mwenye ukoma, akamsujudia na kusema, “Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa!”
Shirikisha
Soma Mathayo 8Mathayo 8:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na tazama, akaja mtu mwenye ukoma akamsujudia, akisema, Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa.
Shirikisha
Soma Mathayo 8