Mathayo 8:18
Mathayo 8:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alipoona kundi la watu limemzunguka, aliwaamuru wanafunzi wake waende ngambo ya ziwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 8Mathayo 8:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Yesu alipoona makutano mengi wakimzunguka, aliamuru kuvuka kwenda ng'ambo.
Shirikisha
Soma Mathayo 8