Mathayo 8:17
Mathayo 8:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
ili litimie lile neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema, Mwenyewe aliutwaa udhaifu wetu, Na kuyachukua magonjwa yetu.
Shirikisha
Soma Mathayo 8Mathayo 8:17 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Haya yalifanyika ili litimie neno lililonenwa kwa kinywa cha nabii Isaya, kwamba: “Mwenyewe alitwaa udhaifu wetu na akachukua magonjwa yetu.”
Shirikisha
Soma Mathayo 8Mathayo 8:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Alifanya hivyo ili yale aliyosema nabii Isaya yatimie: “Yeye mwenyewe ameuchukua udhaifu wetu, ameyabeba magonjwa yetu.”
Shirikisha
Soma Mathayo 8Mathayo 8:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ili litimie lile neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema, Mwenyewe aliutwaa udhaifu wetu, Na kuyachukua magonjwa yetu.
Shirikisha
Soma Mathayo 8