Mathayo 8:16
Mathayo 8:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Ilipokuwa jioni, walimletea watu wengi waliokuwa wamepagawa na pepo; naye, kwa kusema neno tu, akawafukuza hao pepo. Aliwaponya pia watu wote waliokuwa wagonjwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 8Mathayo 8:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata kulipokuwa jioni, wakamletea wengi wenye pepo; akawatoa pepo kwa neno lake, akawaponya wote waliokuwa wagonjwa
Shirikisha
Soma Mathayo 8