Mathayo 8:11
Mathayo 8:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nawaambieni kwamba watu wengi watakuja kutoka mashariki na magharibi, nao wataketi karamuni pamoja na Abrahamu, Isaka na Yakobo katika ufalme wa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 8Mathayo 8:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nawaambieni, ya kwamba wengi watakuja kutoka mashariki na magharibi, nao wataketi pamoja na Abrahamu, na Isaka, na Yakobo katika ufalme wa mbinguni
Shirikisha
Soma Mathayo 8