Mathayo 7:9 - Compare All Versions
Mathayo 7:9 BHN (Biblia Habari Njema)
Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe?
Shirikisha
Mathayo 7 BHNMathayo 7:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe?
Shirikisha
Mathayo 7 SRUVMathayo 7:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe?
Shirikisha
Mathayo 7 SUVMathayo 7:9 NEN (Neno)
“Au ni nani miongoni mwenu ambaye mwanawe akimwomba mkate atampa jiwe?
Shirikisha
Mathayo 7 NEN