Mathayo 7:4
Mathayo 7:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako?
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?
Shirikisha
Soma Mathayo 7