Mathayo 7:27
Mathayo 7:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Mvua ikanyesha, mito ikafurika, pepo kali zikavuma na kuipiga nyumba hiyo, nayo ikaanguka; tena anguko hilo lilikuwa kubwa.”
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile, ikaanguka; nalo anguko lake likawa kubwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 7