Mathayo 7:26
Mathayo 7:26 Biblia Habari Njema (BHN)
“Lakini yeyote anayesikia maneno yangu haya bila kuyazingatia, anafanana na mtu mpumbavu aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kila asikiaye hayo maneno yangu asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu, aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga
Shirikisha
Soma Mathayo 7