Mathayo 7:24
Mathayo 7:24 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kwa hiyo, kila mtu anayeyasikia maneno yangu na kuyazingatia, anafanana na mtu mwenye busara, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba
Shirikisha
Soma Mathayo 7