Mathayo 7:22-23
Mathayo 7:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Wengi wataniambia siku ile ya hukumu: ‘Bwana, Bwana! Kwa jina lako tulitangaza ujumbe wako, na kwa jina lako tuliwatoa pepo na kufanya miujiza mingi’. Hapo nitawaambia: ‘Sikuwajua nyinyi kamwe; ondokeni mbele yangu, enyi watenda maovu.’
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:22-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:22-23 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Mathayo 7