Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 7:2 - Compare All Versions

Mathayo 7:2 BHN (Biblia Habari Njema)

kwa maana jinsi mnavyowahukumu wengine, ndivyo nanyi mtakavyohukumiwa; na kipimo kilekile mnachotumia kwa wengine ndicho Mungu atakachotumia kwenu.

Shirikisha
Mathayo 7 BHN

Mathayo 7:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.

Shirikisha
Mathayo 7 SRUV

Mathayo 7:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.

Shirikisha
Mathayo 7 SUV

Mathayo 7:2 NEN (Neno)

Kwa maana jinsi unavyowahukumu wengine, ndivyo utakavyohukumiwa, na kwa kipimo kile upimiacho, ndicho utakachopimiwa.

Shirikisha
Mathayo 7 NEN