Mathayo 7:17
Mathayo 7:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, mti mzuri huzaa matunda mazuri, na mti mbaya huzaa matunda mabaya.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.
Shirikisha
Soma Mathayo 7