Mathayo 7:15
Mathayo 7:15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:15 Biblia Habari Njema (BHN)
“Jihadharini na manabii wa uongo. Wao huja kwenu wakionekana kama kondoo kwa nje, lakini kwa ndani ni mbwamwitu wakali.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wakiwa wamevaa mavazi ya kondoo, lakini kwa ndani ni mbwamwitu wakali.
Shirikisha
Soma Mathayo 7