Mathayo 7:12
Mathayo 7:12 Biblia Habari Njema (BHN)
“Yote mnayotaka watu wawatendee nyinyi, watendeeni wao vivyo hivyo. Hii ndiyo maana ya sheria ya Mose na mafundisho ya manabii.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi yoyote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo Torati na Manabii.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii.
Shirikisha
Soma Mathayo 7

