Mathayo 7:11
Mathayo 7:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama basi nyinyi, ingawa ni waovu, mwajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, hakika Baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi: Atawapa mema wale wanaomwomba.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi ikiwa ninyi, mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu zawadi njema, je! Si Baba yenu aliye mbinguni atawapa mema zaidi wao wamwombao?
Shirikisha
Soma Mathayo 7