Mathayo 6:7-8
Mathayo 6:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mnaposali, msipayuke maneno kama watu wasiomjua Mungu. Wao hudhani kwamba Mungu atawasikiliza ati kwa sababu ya maneno mengi. Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi. Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Mathayo 6