Mathayo 6:7
Mathayo 6:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:7 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mnaposali, msipayuke maneno kama watu wasiomjua Mungu. Wao hudhani kwamba Mungu atawasikiliza ati kwa sababu ya maneno mengi.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Mathayo 6