Mathayo 6:6
Mathayo 6:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wewe unaposali, ingia chumbani mwako, funga mlango, kisha umwombe Baba yako asiyeonekana. Naye Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
Shirikisha
Soma Mathayo 6