Mathayo 6:4
Mathayo 6:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Toa msaada wako kwa siri, na Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
sadaka yako iwe kwa siri; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
Shirikisha
Soma Mathayo 6