Mathayo 6:28
Mathayo 6:28 Biblia Habari Njema (BHN)
“Na kuhusu mavazi, ya nini kuwa na wasiwasi? Tazameni maua ya porini jinsi yanavyostawi. Hayafanyi kazi wala hayasokoti.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mavazi, ya nini kuyasumbukia? Fikirini maua ya mashamba, jinsi yameavyo; hayafanyi kazi, wala hayasokoti
Shirikisha
Soma Mathayo 6