Mathayo 6:27
Mathayo 6:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Ni nani miongoni mwenu kwa kuwa na wasiwasi sana anaweza kuuongeza muda wa maisha yake?
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni yupi kwenu ambaye akijisumbua aweza kujiongeza kimo chake hata mkono mmoja?
Shirikisha
Soma Mathayo 6