Mathayo 6:24
Mathayo 6:24 Biblia Habari Njema (BHN)
“Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili. Maana atamchukia mmoja na kumpenda huyo wa pili; au ataambatana na mmoja na kumdharau huyo mwingine. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali pamoja.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili; kwa maana atamchukia huyu, na kumpenda huyu; ama atashikamana na huyu, na kumdharau huyu. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali.
Shirikisha
Soma Mathayo 6