Mathayo 6:23
Mathayo 6:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini ikiwa jicho lako ni bovu, mwili wako wote utakuwa katika giza. Basi, ikiwa mwanga uliomo ndani yako ni giza, basi, hilo ni giza la kutisha mno!
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini jicho lako likiwa bovu, mwili wako wote utakuwa na giza. Basi ile nuru iliyomo ndani yako ikiwa giza; si giza hilo!
Shirikisha
Soma Mathayo 6