Mathayo 6:22
Mathayo 6:22 Biblia Habari Njema (BHN)
“Jicho ni taa ya mwili. Kama basi jicho lako ni zima, mwili wako wote utakuwa katika mwanga.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Taa ya mwili ni jicho; basi jicho lako likiwa kamili, mwili wako wote utakuwa na nuru.
Shirikisha
Soma Mathayo 6