Mathayo 6:2
Mathayo 6:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi wewe utoapo sadaka, usipige panda mbele yako, kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi na njiani, ili watukuzwe na watu.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:2 Biblia Habari Njema (BHN)
“Basi, unapomsaidia maskini, usijitangaze. Usifanye kama wanafiki wafanyavyo katika masunagogi na njiani ili watu wawasifu. Kweli nawaambieni, hao wamekwisha pata tuzo lao.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi wewe utoapo sadaka, usipige panda mbele yako, kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi na njiani, ili watukuzwe na watu.
Shirikisha
Soma Mathayo 6