Mathayo 6:19-20
Mathayo 6:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
“Msijiwekee hazina hapa duniani ambako nondo na kutu huharibu, na wezi huingia na kuiba. Jiwekeeni hazina mbinguni ambako nondo na kutu hawawezi kuiharibu, wala wezi hawaingii wakaiba.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
“Msijiwekee hazina hapa duniani ambako nondo na kutu huharibu, na wezi huingia na kuiba. Jiwekeeni hazina mbinguni ambako nondo na kutu hawawezi kuiharibu, wala wezi hawaingii wakaiba.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:19-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo, na wezi huvunja na kuiba; bali jiwekeeni hazina mbinguni, kusikoharibika kitu kwa nondo wala kutu, wala wezi hawavunji wala hawaibi
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:19-20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo, na wevi huvunja na kuiba; bali jiwekeeni hazina mbinguni, kusikoharibika kitu kwa nondo wala kutu, wala wevi hawavunji wala hawaibi
Shirikisha
Soma Mathayo 6