Mathayo 6:14-15
Mathayo 6:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
“Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia. Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi. Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:14-15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi. Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.
Shirikisha
Soma Mathayo 6