Mathayo 6:1
Mathayo 6:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Jihadharini msije mkafanya matendo yenu mema mbele ya watu kusudi mwonekane nao. La sivyo, Baba yenu aliye mbinguni hatawapeni tuzo.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 6