Mathayo 5:40 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 5:40 BHN (Biblia Habari Njema)
Mtu akikupeleka mahakamani kutaka kukuchukulia shati lako, mwache achukue pia koti lako.
Shirikisha
Mathayo 5 BHNMathayo 5:40 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia.
Shirikisha
Mathayo 5 SUVMathayo 5:40 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na mtu atakaye kukushitaki na kulichukua shati lako, mwachie na koti pia.
Shirikisha
Mathayo 5 SRUVMathayo 5:40 NEN (Neno)
Mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia.
Shirikisha
Mathayo 5 NEN