Rukia hadi maudhui

Mathayo 5:31 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 5:31 BHN (Biblia Habari Njema)

“Ilikwisha semwa pia: ‘Anayemwacha mke wake, yampasa ampe hati ya talaka’.

Mathayo 5 BHN

Mathayo 5:31 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka

Mathayo 5 SUV

Mathayo 5:31 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka

Mathayo 5 SRUV

Mathayo 5:31 NEN (Neno)

“Pia ilinenwa kwamba, ‘Mtu yeyote amwachaye mkewe sharti ampe hati ya talaka.’

Mathayo 5 NEN