Rukia hadi maudhui

Mathayo 5:21 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 5:21 BHN (Biblia Habari Njema)

“Mmekwisha sikia ya kuwa watu wa kale waliambiwa: ‘Usiue! Atakayeua lazima ahukumiwe.’

Mathayo 5 BHN

Mathayo 5:21 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Mmesikia watu wa kale walivyoambiwa, Usiue, na mtu akiua, itampasa hukumu.

Mathayo 5 SUV

Mathayo 5:21 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Mmesikia watu wa kale walivyoambiwa, Usiue, na mtu akiua, itampasa hukumu.

Mathayo 5 SRUV

Mathayo 5:21 NEN (Neno)

“Mmesikia walivyoambiwa watu wa zamani kwamba, ‘Usiue. Yeyote atakayeua atapaswa hukumu.’

Mathayo 5 NEN