Mathayo 4:8-9
Mathayo 4:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka juu ya mlima mrefu, akamwonesha falme zote za ulimwengu na fahari zake, akamwambia, “Hivi vyote nitakupa kama ukipiga magoti na kuniabudu.”
Shirikisha
Soma Mathayo 4Mathayo 4:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka katika mlima mrefu mno, akamwonesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake, akamwambia, Haya yote nitakupa, ukiinama na kunisujudia.
Shirikisha
Soma Mathayo 4