Mathayo 4:3-4
Mathayo 4:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, mshawishi akamjia, akamwambia, “Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu, amuru mawe haya yawe mikate.” Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno asemalo Mungu.’”
Shirikisha
Soma Mathayo 4Mathayo 4:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mjaribu akamjia akamwambia, Ikiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru mawe haya yawe mikate. Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 4Mathayo 4:3-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate. Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 4