Mathayo 4:3
Mathayo 4:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, mshawishi akamjia, akamwambia, “Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu, amuru mawe haya yawe mikate.”
Shirikisha
Soma Mathayo 4Mathayo 4:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mjaribu akamjia akamwambia, Ikiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru mawe haya yawe mikate.
Shirikisha
Soma Mathayo 4