Mathayo 4:23
Mathayo 4:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye alikuwa akizunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao, na kuihubiri Habari Njema ya ufalme, na kuponya kila ugonjwa na maradhi ya kila namna waliyokuwa nayo watu.
Shirikisha
Soma Mathayo 4Mathayo 4:23 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye alikuwa akizunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao, na kuihubiri Habari Njema ya ufalme, na kuponya ugonjwa na udhaifu wa kila namna katika watu.
Shirikisha
Soma Mathayo 4Mathayo 4:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alikuwa anakwenda kila mahali wilayani Galilaya, akifundisha katika masunagogi na kuhubiri Habari Njema juu ya ufalme wa Mungu. Aliponya kila namna ya maradhi na magonjwa waliyokuwa nayo watu.
Shirikisha
Soma Mathayo 4Mathayo 4:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye alikuwa akizunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao, na kuihubiri Habari Njema ya ufalme, na kuponya kila ugonjwa na maradhi ya kila namna waliyokuwa nayo watu.
Shirikisha
Soma Mathayo 4