Mathayo 4:17
Mathayo 4:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Tangu wakati huo Yesu alianza kuhubiri akisema, “Tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekariia!”
Shirikisha
Soma Mathayo 4Mathayo 4:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tokea wakati huo Yesu alianza kuhubiri, na kusema, Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
Shirikisha
Soma Mathayo 4