Mathayo 3:7 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 3:7 BHN (Biblia Habari Njema)
Lakini alipowaona Mafarisayo wengi na Masadukayo wanamjia ili awabatize, aliwaambia, “Enyi kizazi cha nyoka! Ni nani aliyewadokezea muikimbie ghadhabu inayokuja?
Shirikisha
Mathayo 3 BHNMathayo 3:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata alipoona wengi miongoni mwa Mafarisayo na Masadukayo wakiujia ubatizo wake, aliwaambia, Enyi wazao wa nyoka, ni nani aliyewaonya ninyi kuikimbia hasira itakayokuja?
Shirikisha
Mathayo 3 SUVMathayo 3:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na alipoona wengi miongoni mwa Mafarisayo na Masadukayo wakiujia ubatizo wake, aliwaambia, Enyi wazawa wa nyoka, ni nani aliyewaonya ninyi kuikimbia hasira itakayokuja?
Shirikisha
Mathayo 3 SRUVMathayo 3:7 NEN (Neno)
Lakini alipowaona Mafarisayo na Masadukayo wengi wakija ili kubatizwa, aliwaambia: “Ninyi watoto wa nyoka! Ni nani aliyewaonya kuikimbia ghadhabu inayokuja?
Shirikisha
Mathayo 3 NEN