Mathayo 3:5 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 3:5 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi, watu kutoka Yerusalemu, kutoka pande zote za Yudea na sehemu zote za kandokando ya mto Yordani, walimwendea
Shirikisha
Mathayo 3 BHNMathayo 3:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo walipomwendea Yerusalemu, na Uyahudi wote, na nchi zote za kandokando ya Yordani
Shirikisha
Mathayo 3 SUVMathayo 3:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ndipo walipomwendea wa Yerusalemu, na wa Yudea wote, na nchi zote za kandokando ya Yordani
Shirikisha
Mathayo 3 SRUVMathayo 3:5 NEN (Neno)
Watu walikuwa wakimwendea kutoka Yerusalemu, Yudea yote na nchi zote za kandokando ya Mto Yordani.
Shirikisha
Mathayo 3 NEN