Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 3:14 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 3:14 BHN (Biblia Habari Njema)

Lakini Yohane alijaribu kumzuia akisema, “Je, wewe unakuja kwangu? Mimi hasa ndiye ninayehitaji kubatizwa nawe.”

Shirikisha
Mathayo 3 BHN

Mathayo 3:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Lakini Yohana alitaka kumzuia, akisema, Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu?

Shirikisha
Mathayo 3 SUV

Mathayo 3:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Lakini Yohana alitaka kumzuia, akisema, Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu?

Shirikisha
Mathayo 3 SRUV

Mathayo 3:14 NEN (Neno)

Lakini Yohana akajitahidi kumzuia, akimwambia, “Mimi ninahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu nikubatize?”

Shirikisha
Mathayo 3 NEN