Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 3:1 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 3:1 BHN (Biblia Habari Njema)

Siku zile Yohane Mbatizaji alitokea, akaanza kuhubiri katika jangwa la Yudea

Shirikisha
Mathayo 3 BHN

Mathayo 3:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Siku zile aliondokea Yohana Mbatizaji akihubiri katika nyika ya Uyahudi, na kusema

Shirikisha
Mathayo 3 SUV

Mathayo 3:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Siku zile aliondokea Yohana Mbatizaji akihubiri katika nyika ya Yudea, na kusema

Shirikisha
Mathayo 3 SRUV

Mathayo 3:1 NEN (Neno)

Siku hizo Yohana Mbatizaji alikuja akihubiri katika nyika ya Yudea, akisema

Shirikisha
Mathayo 3 NEN