Mathayo 28:9-10
Mathayo 28:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mara, Yesu akakutana nao, akasema: “Salamu.” Hao wanawake wakamwendea, wakapiga magoti mbele yake, wakashika miguu yake. Kisha Yesu akawaambia, “Msiogope! Nendeni mkawaambie ndugu zangu waende Galilaya, na huko wataniona.”
Shirikisha
Soma Mathayo 28Mathayo 28:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na tazama, Yesu akakutana nao, akisema, Salamu! Wakakaribia wakamshika miguu, wakamsujudia. Kisha Yesu akawaambia, Msiogope; nendeni, mkawaambie ndugu zangu waende Galilaya, ndiko watakakoniona.
Shirikisha
Soma Mathayo 28