Mathayo 28:6
Mathayo 28:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Hayupo hapa maana amefufuka kama alivyosema. Njoni mkaone mahali alipokuwa amelala.
Shirikisha
Soma Mathayo 28Mathayo 28:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hayupo hapa; maana amefufuka kama alivyosema. Njooni, mpatazame mahali alipolazwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 28Mathayo 28:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hayupo hapa; kwani amefufuka kama alivyosema. Njoni, mpatazame mahali alipolazwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 28