Mathayo 28:16-17
Mathayo 28:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Wale wanafunzi kumi na mmoja walikwenda Galilaya kwenye ule mlima aliowaagizia Yesu. Walipomwona wakamwabudu, ingawa wengine walikuwa na mashaka.
Shirikisha
Soma Mathayo 28Mathayo 28:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na wale wanafunzi kumi na mmoja wakaenda Galilaya hadi katika mlima ule aliowaagiza Yesu. Nao walipomwona, walimsujudia; lakini baadhi yao walikuwa na mashaka.
Shirikisha
Soma Mathayo 28