Mathayo 28:15
Mathayo 28:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Wale walinzi wakazichukua zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Habari hiyo imeenea kati ya Wayahudi mpaka leo.
Shirikisha
Soma Mathayo 28Mathayo 28:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Na neno hilo likaenea kati ya Wayahudi hata leo.
Shirikisha
Soma Mathayo 28