Mathayo 28:1
Mathayo 28:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya Sabato, karibu na mapambazuko ya siku ile ya Jumapili, Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikwenda kutazama lile kaburi.
Shirikisha
Soma Mathayo 28Mathayo 28:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na sabato ilipokwisha, ikipambazuka siku ya kwanza ya juma, Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, walikwenda kulitazama kaburi.
Shirikisha
Soma Mathayo 28