Mathayo 27:52-53
Mathayo 27:52-53 Biblia Habari Njema (BHN)
makaburi yakafunguka na watu wengi wa Mungu waliokufa wakafufuliwa; nao, baada ya kufufuka kwake, wakatoka makaburini, wakaingia katika mji mtakatifu, wakaonekana na watu wengi.
Shirikisha
Soma Mathayo 27Mathayo 27:52-53 Swahili Revised Union Version (SRUV)
makaburi yakafunuka; ikainuka miili mingi ya watakatifu waliolala; nao wakiisha kutoka makaburini mwao, baada ya kufufuka kwake, wakauingia mji mtakatifu, wakawatokea wengi.
Shirikisha
Soma Mathayo 27