Mathayo 27:50-51
Mathayo 27:50-51 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Yesu akalia tena kwa sauti kubwa, akakata roho. Hapo pazia la hekalu likapasuka vipande viwili, toka juu mpaka chini; nchi ikatetemeka; miamba ikapasuka
Shirikisha
Soma Mathayo 27Mathayo 27:50-51 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Yesu akiisha kupaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake. Na tazama, pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hadi chini; nchi ikatetemeka; miamba ikapasuka
Shirikisha
Soma Mathayo 27