Mathayo 27:5
Mathayo 27:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye akazitupa zile fedha hekaluni, akatoka nje, akaenda akajinyonga.
Shirikisha
Soma Mathayo 27Mathayo 27:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akavitupa vile vipande vya fedha katika hekalu, akaondoka; akaenda, akajinyonga.
Shirikisha
Soma Mathayo 27